Huwezi kusikiliza tena

Mazingira TZ yanatunzwa vyema?

Jitihada mbalimbali za Serikali ya Tanzania kupitia Halmashauri za Miji zimekuwa zikifanywa ili kuifanya miji ya nchi hiyo kuwa safi nyakati zote.

Hata hivyo kwa miaka kadhaa sasa ni mji mmoja tu nchini Humo umekuwa ukijishindia tuzo za mji msafi.

Haba na Haba Tv ilitaka kujua mji huo wamefanya nini kufanikiwa katika hilo?