Huwezi kusikiliza tena

Maslahi ya UG, Sudan Kusini

Serikali ya Uganda imekiri kuwapeleka wanajeshi wake kusaidia wanajeshi wa Sudan kupmbana na waasi wa Riek Machar. Uganda ina maslahi gani Sudan Kusini? Ali Mutasa anasimuliza kutoka Uganda