Huwezi kusikiliza tena

Nyota ya Komla Dumor itang'aa daima

Komla Dumor atakumbukwa na wengi, waliofanya kazi naye BBC na ambao hawakuwahi kufanya naye kazi bali kila siku ya wiki walimuona kwenye televisheni akitangaza kupindi cha BBC Focua on Africa.

Komla alikuwa mtu wa aina gani?