Huwezi kusikiliza tena

Makaziwe amkumbuka Komla

Makaziwe Mandela mwanawe hayati Nelson Mandela, alikuwa mmoja wa watu wa mwisho ambao mwandishi wa BBC Komla Dumor aliwahoji kabla ya kifo chake. Anamkumbuka vipi Komla?