Huwezi kusikiliza tena

Ann Waithera: BBC itakavyomuenzi

Aliyekuwa mfanyakazi wa BBC Anne Waithera ameaga dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Wafanyakazi wenzake katika idhaa ya dunia ya BBC wametoa rambi rambi zao na kuelezea watakavyomkumbuka Ann. Wanyama Chebusiri na wasifu wake