Huwezi kusikiliza tena

Mvua yaleta uharibifu Tz

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Tanzania zinasababisha uharibifu mkubwa wa mashamba, nyumba na miundo mbinu.

Katika mkoa wa Morogoro, watu zaidi ya 3000 hawana makaazi wakisubiri msaada kutokana na mafuriko.

Tayari serikali ya Tanzania pamoja na mashirika ya misaada ya kibanadamu yanawahudumia waathirika wa mafuriko hayo.

Mwandishi wetu John Solombi ametembelea eneo la tukio na kutuandalia taarifa ifuatayo.