Huwezi kusikiliza tena

Wachimba migodi SA wadai haki

Polisi nchini Afrika kusini wametumia risasi za mpira kutawanya takriban wafanyikazi elfu tatu wa migodi wanaogoma karibu na mji wa Rustenburg.

Polisi wanasema wachimbaji migodi hao kutoka kampuni ya Anglo-American platinum walikua wamebeba silaha hatari na walitishia kushambulia wafanyikazi waliosusia mgomo huo.

Wachimba migodi hao wanataka nyongeza ya mishahara kama inavyoelezea taarifa hii