Huwezi kusikiliza tena

Wahuni watatiza Bitcoin

Ni wakati mgumu kwa bitcoin ambayo ni miongoni mwa kampuni zinazoongoza katika ubadilishanaji wa -Bitstamp - ambayo imesimamisha huduma zake za utoaji baada ya kukataa madai kuwa wamekumbwa na shida ya uhuni wa huduma za mtandao.

Taarifa hii na nyinginezo ni katika mkusanyiko wa taarifa za teknolojia wiki hii