Huwezi kusikiliza tena

Boko Harama wadhibitiwe vipi?

20 Februari 2014 Imebadilishwa mwisho saa 13:10 GMT

Siku nyingine mashambulizi mapya, kaskazini mwa Nigeria.

Safari hii katika mji wa mpakani wa Bama. Mashambulizi haya inadaiwa yamefanywa na Boko Haram. Na yametokea saa 24 baada ya serikali kusema imepata ushindi katika vita vya kukabiliana na Boko Haram.

Inaaminika kundi hili nimeshambulia vikali sehemu mbalimbali katika wiki za karibuni, kushambulia miji na vijiji, ambapo mamia ya watu wameuawa na wengine wengi kupoteza makazi.

Niwatahadharishe Taarifa ifuatayo ya Dayo Yusuf ina picha za kutisha.