Huwezi kusikiliza tena

Wachimba migodi haramu wasakwa A.K

Polisi wa Afrika Kusini wamesema watawasaka Wachimba madini wanaoendesha kazi zao kinyume na sheria, wakati miili zaidi ikigundulikana katika mgodi wa dhahabu uliokuwa hautumiki nje ya Johannesburg.

Wachimba madini kadhaa walikwama siku ya Jummaosi, huku wengine wakikataa kutoka mgodini wakihofia kukamatwa.

Suluma Kassim anatuelezea zaidi kuhusu hatari katika Eneo la Mgodi wa Benoni kiasi kwamba Makampuni ya Madinii yameahidi kuufunga.