Huwezi kusikiliza tena

Sauti ya Afrika Urusi

Wanamuziki wa Cossack kutoka Afrika. Vijana kutoka Afrika, wakiwa masomoni Kusini mwa Urusi, walianzisha kundi la muziki wa kitamaduni wa cossack.

Cossack sio kabila, lakini ni haiba ya watu fulani ambao zamani walikuwa ni nusu wanajeshi, na nusu raia, na wanakumbukwa kwa kuisaidia jamii nyakati za vita.

Vijana hao kutoka Afrika sasa ni maarufu nchini Urusi. Alex Mureithi anaarifu zaidi.