Huwezi kusikiliza tena

Mugabe alivyosherehekea miaka 90

Mwishoni mwa wiki Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe aliadhimisha miaka 90 ya kuzaliwa kwake, na hii inamfanya kuwa ni mwanasiasa wa pili mkongwe duniani baada ya Shimon Peres wa Israel.

Bw. Mugabe amekuwa akishutumiwa sana na matumizi ya kifahari katika nchi inayokabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi na ukosefu wa ajira na sasa gharama ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake imeleta utata.

Suluma Kassim na taarifa hiyo.