Huwezi kusikiliza tena

Gharama ya juu ya nyumba Senegal

Kodi za nyumba ziko juu sana katika baadhi ya sehemu za mji mkuu wa Senegal, Dakar ambapo wakazi wengi wanapata shida kulipa.Ili kutatua tatizo hilo serikali ya nchi hiyo imechukua hatua isiyo kawaida ya kuwaamuru wenye nyumba kupunguza kodi. Lakini baadhi wanajiuliza kama mpango huo utafanikiwa.

Zuhura Yunus ana maelezo zaidi.