Huwezi kusikiliza tena

Huduma za afya kwa mashoga UG

Waziri wa fedha nchini Uganda, ameambia BBC ameambia BBC kuwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, hawatatengwa katika kupata huduma za afya.

Hio ni licha ya sheria mpya aliyotia saini Rais Yoweri Museveni dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.

Mashirika yanayotoa matibabu ya Ukimwi yanasema kuwa sheria hiyo itaathiri pakubwa juhudi za nchi hio dhidi ya ukimwi.

Kama inavyosimulia taarifa hii.