Huwezi kusikiliza tena

Nigeria 100-Inajivunia nini?

Takriban miaka mia moja iliyopita, makoloni kadhaa ya Uingereza yaliunganishwa na kuundwa nchi ya Nigeria.

Hii leo nchi hiyo ndio yenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika na yenye uchumi ya pili kwa ukubwa.

Lakini katika miaka iliyopita nchi hiyo imekumbwa na changa moto nyingi zilizotishia kuisambaratisha nchi hiyo kama anavyoeleza Dayo Yusuf.