Huwezi kusikiliza tena

'Fistula' inavyotishia maisha Uganda

Nasuri au Fistula ni ugonjwa unaoathiri karibu Wanawake Milioni Mbili wengi katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara na Asia Mashariki.

Ugonjwa huu huwaathiri wanawake wanapojifungua.

Takriban wagonjwa wapya Laki moja hupatikana kila siku duniani kote.

BBC imepata fursa maalum kuwa pamoja na Madaktari wa Uingereza, walio Masaka nchini Uganda, waonaotibu Maradhi haya ambayo hayajulikani sana. Suluma Kassim, anatuelezea zaidi.

<< Nakutahadharisha tu picha utakazoona ni za wazi kabisa>>