Huwezi kusikiliza tena

Weka rehani upate mkopo

Suala la kupata mkopo kwa kuweka rehani kama saa au vito inaendelea kuwa mashuhuri barani Asia.

Hii ni licha ya wateja kulipishwa riba kubwa zaidi kuliko mikopo ya benki za kawaida.

Kassim Kayira anaangalia kwa nini watu huendelea kuweka rehani vito vyao vya thamani.