Huwezi kusikiliza tena

Marekani yakamata meli ya Libya

Meli kubwa ya mafuta mali ya serikali ya Libya inashikiliwa na kikosi maalum cha wanamaji wa Marekani baada ya kukamatwa katika bahari ya kimataifa kusini mwa Cyrus.

Meli hiyo, Morning Glory iliingia katika bandari ya Sidra wiki iliyopita.

Kituo hicho cha mafuta kimekuwa chini ya ulinzi wa wanamgambo wanaotaka eneo la mashariki mwa Libya lijitawale lenyewe. Joan Simba anaarifu zaidi.