Huwezi kusikiliza tena

Wizzy anogesha sanaa Nigeria

Wiki hii yote BBC itakuwa na kipindi kinachoitwa Nigeria Xtra kikiongozwa na DJ Edu, ambaye ametembelea jiji la Lagos na kugundua wasanii mahiri na midundo motomoto ya Nigeria.

Na aliyeanza naye ni mshindi wa tuzo mbalimbali Wizkid, nyota maarufu nchini kwake na nje ya mipaka.