Huwezi kusikiliza tena

WizKid Kijana nyota wa Nigeria

Wiki hii yote BBC itakuwa na kipindi kinachoitwa Nigeria Xtra kikiongozwa na DJ Edu, ambaye ametembelea jiji la Lagos na kugundua wasanii mahiri na midundo motomoto ya Nigeria. Na aliyeanza naye ni mshindi wa tuzo mbalimbali Wizkid, nyota maarufu nchini kwake na nje ya mipaka.

Kwa sasa na tusikilize mahojiano haya yaliyorekodiwa Lagos. Kwanza ni kumhusu Wizzy mwenyewe.

Wizkid alianza patashika za muziki alipokuwa na umri wa miaka kumi na moja. Dj Edu alimuuliza alijisikia vipi mara ya kwanza alipoingia jukwaani,