Huwezi kusikiliza tena

Kutana na shabiki sugu wa Yanga

Katika ushabiki wa mchezo wa soka mara nyingi wanasoka wakipata umaarufu mkubwa hasa kutokana na kusakata kabumbu ambao ndio utamu wa soka lenyewe.

Hata hivyo nchini Tanzania yupo shabiki Bwana Steven Samuel aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na mapenzi yake kwa timu ya Tanzania hasa inapofungwa.

Ushabiki huu umemletea mafanikio si haba , kama alivyobaini Mwandishi wetu wa Dar es salaaam Erick David Nampesya