Huwezi kusikiliza tena

Wasiwasi wa vijana kuhusu katiba TZ

Kongamano la vijana kuhusu wajibu wao katika kuimarisha Muungano wa taifa hilo lilifanyika nchini Tanzania mwishoni mwa wiki.

Baadhi ya vijana wameonyesha wasiwasi wao juu ya kuvunjika kwa muungano wa Tanzania bara na Zanzibar.

Wasi wasi huo unatokana na rasimu ya Katiba mpya inayopendekeza muundo wa serikali tatu.

Zaidi tujiunge na John Solombi akiwa Dar es salaam