Huwezi kusikiliza tena

Wachokozi kwenye mitandao kukomeshwa TZ

Mikasa ya watu kuibiwa na kudhalilishwa kwenye mitandao imekuwa ikiongezeka kadri teknolojia hiyo inavyosambaa na kuwafikia watu wengi zaidi.

Lakini sasa Tanzania imeandaa mswada wa sheria maalum kudhibiti uhalifu wa kimitandao.

Leonard Mubali amendaa taarifa zaidi kutoka Dar es salaam