Huwezi kusikiliza tena

Kero la msongamano wa magari TZ

Kipindi cha redio cha Haba na Haba wiki hii kinaangazia tatizo la msongamano wa magari ambalo ni changamoto kubwa kwa wasafiri wengi TZ. Msimulizi wako ni Faraji John