Huwezi kusikiliza tena

Washirika wa Boko Haram

Genge moja huko Niger limezungumza na BBC, likisema limeshirikiana na kundi la wapiganaji wa Boko Haram na kwa kufanya hivyo wakapata pesa.

Majirani wa Nigeria yaani Niger, Cameroon na Chad, tayari wanahofia vurugu za Boko Haram kupenya kwenye mipaka ya nchi hizo.

Maelfu mpaka sasa wamekimbia ghasia nchini humo. Zuhura Yunus anaarifu zaidi.