Huwezi kusikiliza tena

Mizizi ya Cuba Sierra Leona

Takriban Waafrika milioni moja walipelekwa Cuba wakati wa biashara ya utumwa kupitia bahari ya Atlantiki, ambao wengi walichukuliwa kwa nguvu kufanya kazi kwenye mashamba ya miwa kisiwani humo.

Sasa, vizazi vyao vinajua kidogo au hawajui kabisa kuhusu asili yao.

Lakini jumuiya moja imefanikiwa kuendeleza nyimbo zao za asili.

Cha kushangaza sasa asili ya nyimbo zao kumbe ni kutoka Siera Leone.