Huwezi kusikiliza tena

Wasomi Zanzibar waunga Muungano

Tarehe Aprili 26 , mwaka 2014 Tanzania iliadhimisha miaka 50 ya Muungano tangu nchi ya Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda nchi ya Tanzania.