Huwezi kusikiliza tena

Wayahudi wa Ethiopia walalamika

Mamilioni ya Wayahudi duniani kote wameadhimisha, Moja ya tamasha muhimu katika dini yao. Lakini kwa maelfu ya Wayahudi wa Ethiopia Mafalasha, hawana la kusherehekea.

Wengi wamesikitishwa na umauzi wa Israel kusitisha mpango wa muda mrefu wenye utata ambao maelfu ya Mafalasha hupelekwa Israel.

Mwandishi wetu Emmanuel Igunza alitembelea eneo la Gondar.