Huwezi kusikiliza tena

A. Kusini:Miaka 20 ya demokrasia

Afrika Kusini inaadhimisha miaka 20 ya demokrasiapamoja na kujiandaa kwa uchaguzi mkuu.

Lakini kwa zaidi ya miaka 40 swala la kutenga watu kwa misigi ya rangi na ubaguzi ilikuwa jambo la kawaida hadi mwaka 1996.

Mwishoni mwa wiki sherehe za kutimiza miaka 20 ya demokrasi na kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi zilifanyika.

Lakini nini kimebadilika tangu uhuru? .