Huwezi kusikiliza tena

Uwajibikaji katika Muungano TZ

Haba na Haba inaangazia miaka hamsini ya Muungano wa Tanzania.

Katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar je uwazi na uwajibikaji vimekuwa na mchango au changamoto gani katika kuudumisha muungano.

Unaweza kutoa maoni yako kwenye mtandao wetu wa Facebook: BBCHabanaHaba na kwenye Twitter @BBC_HabanaHaba