Huwezi kusikiliza tena

Nyota wa Kenya kushiriki mbio Bahamas

  • 29 Aprili 2014

Janeth Jepkosgei ni baadhi ya wanariadha watakaoiwakilisha Kenya katika mbio za kwanza za dunia za kupokezana vijiti nchini Bahamas mwezi ujao.

Amezungumza na John Nene kutueleza miongoni mwa mipango yake msimu huu..