Huwezi kusikiliza tena

Je unajua aliko rafiki yako?

Mtandao wa Facebook umeanzisha huduma mpya inayomuwezesha mtumiaji kujua eneo aliko rafiki yake kupitia huduma ijulikanayo kama “Nearby Friends” ambapo unatafuta eneo aliko rafiki yako kupitia GPS.

Kwa taarifa hii pamoja na taarifa nyinginezo za teknolojia , tazama.