Huwezi kusikiliza tena

Waisilamu wakimbilia usalama CAR

Wanajeshi wa Ufaransa na Umoja wa Afrika wameusindikiza msafara wa Waislamu zaidi ya Elfu Moja waliokuwa wanaondoka mjini Bangui katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Wanamgambo wa Kikristo wamekuwa wakizuia watu hao waliokuwa ndani ya malori 18 kuondoka mjini humo.

Fujo zimekuwa zikiendelea nchini humo kwa mwaka mmoja sasa.

Suluma Kassim, anatuarifu zaidi.