Huwezi kusikiliza tena

Picha za historia Afrika Kusini

Afrika Kusini imeadhimisha miaka 20 ya Demokrasia.

Kumefanyika maonyesho ya picha zinazoelezea historia ya ubaguzi wa rangi uliokuweko nchini humo.

Zaidi ya wasanii na wapiga picha 70 wa Afrika Kusini wameshiriki maonesho yaliyofanyika Makumbusho ya Afrika mjini Johennesburg.

Kwa wale waliozaliwa baada ya mwaka 1994, maonesho haya yamekuwa yenye hisia kubwa sana. Suluma Kassim, anatuelezeea zaidi.