Huwezi kusikiliza tena

Akaunti yako ya Gmail iko salama

Katika makala ya Teknolojia wiki hii:Mtandao wa Google umetangaza kusimamisha mpango wake wa kuchunguza akaunti za gmail za mamilioni ya wanafunzi wanaotumia programu yake ya elimu baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa tabia hiyo inaweza kuvunja sharia ya Marekani ya kuingilia maisha binafsi.

Kwa taarifa hii pamoja na taarifa nyinginezo za teknolojia tazama: