Huwezi kusikiliza tena

Makahaba wa jangwani Sahara

Kila mwaka maelfu ya wahamiaji kutoka Afrika magharibi wanahatarisha maisha yao wakisafiri kupitia jangwa la Sahara kuelekea pwani ya magharibi mwa Afrika, wakitumai kuingia ulaya kupata maisha bora.

Wengi wa wahamiaji hao huanzia safari zao kaskazini mwa Niger, ambako baadhi hufa kwa kukosa maji, huku wengine wakitekwa na makundi ya wapiganaji.

Peter Musembi na maelezo zaidi.