Huwezi kusikiliza tena

Tahadhari ya Saratani TZ

Haba Na Haba inaangalia saratani ya shingo ya kizazi na mpango wa serikali ya Tanzania kutoa chanjo kwa watoto wa kike wa miaka 9 – 13, huku inaangazia nini kifanyike kuhakikisha jamii inaelewa na kuchukua hatua za kupima kabla ya kukutwa na tatizo.