Huwezi kusikiliza tena

Ushauri wa Museveni kuhusu Boko Haram

Kwa miaka takriban ishirini, Uganda ilikuwa ikisumbuliwa na uasi kaskazini mwa nchi hiyo kutoka kundi la LRA.

Hali imekuwa shwari sasa hivi.

Je njia ya kukabiliana na Boko Haram, iwe ya nguvu au mazungumzo?

Salim Kikeke amemuuliza swali hilo Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.