Huwezi kusikiliza tena

Vifaa vinavyoendeshwa kwa SMS

Vifaa mbalimbali vya jikoni vyenye uwezo wa kuendeshwa kwa ujumbe mfupi wa simu ya mkononi vimeendelea kuuzwa huko Korea Kusini. Kwa taarifa hii na nyinginezo za teknolojia tazama.