Huwezi kusikiliza tena

TZ yapambana na Homa ya Dengue

Tanzania imesema inapambana na mlipuko wa homa ya dengue iliyozuka mapema mwaka huu.

Watu watatu mpaka sasa wameripotiwa kufa na takriban wengine mia nne wanashukiwa kuwa na dalili za ugonjwa huo.

Dalili za ugonjwa huo pia zimeonekana katika nchi jirani za Msumbiji na Kenya. Aboubakar Famau anatuarifu zaidi kutoka Dar es Salaam.