Huwezi kusikiliza tena

Kero la Fistula Tanzania

Haba na Haba inaangazia tatizo la Fistula nchini Tanzania ambavyo linaendelea kujitokeza.

Tutaangalia maisha ya mtu baada ya kutibiwa ugonjwa wa fistula na je wanaume wana nafasi gani katika kuwasaidia wake zao kukabiliana na tatizo hili la Fistula.

Changia mawazo yako kupitia www.facebook.com/BBCHabanahaba au kupitia www.twitter.com/BBC_HabanaHaba