Huwezi kusikiliza tena

Brazil ilivyoteuliwa mwenyeji wa 2014

Leo katika msururu wa Makala ya kombe la dunia tunaangazia jinsi Brazil ilivyotwaa uwenyeji wa kombe hilo na maandalizi ya kombe hilo.

Idris situma ametuandalia taarifa hiyo ikiambatana na wimbo rasmi wa mashindano hayo, ola ola ola