Huwezi kusikiliza tena

Kero la Malaria Uganda

Nchini Uganda athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinaanza kujitokeza kwa wakazi waliokua wamenusurika kutokana athari hizo.

Kwa mfano katika milima mirefu ya Rwenzori kusini magharibi mwa nchi hiyo, ugonjwa wa malaria unaendelea kuwaathiri mamia ya watu ilhali ulikua hujulikani maeneo haya kutokana na baridi nyingi.

Lakini miaka michache iliyopita, ugonjwa huo umejotokeza sana huku mbu zinayousambaza zikienea kwenye maeneo haya kama Kassim Kayira alivoona katika ziara yake