Huwezi kusikiliza tena

Migogoro ya mashamba TZ

Wiki Hii Katika Haba Na Haba tunaangaliza uwekezaji kwenye Ardhi.

Tunaangalia kuendelea kwa migogoro baina ya wananchi na wawekezaji wa mashamba makubwa.

Changia mawazo yako kupitia www.facebook.com/BBCHabanahaba au kupitia www.twitter.com/BBC_HabanaHaba