Huwezi kusikiliza tena

Juhudi kukomesha mzozo Sudan Kusini

Mawaziri wa Uingereza huenda wakaiwekea Sudan Kusini vikwazo, ikiwa matatizo ya kibinadamu nchini humo yataendelea kuzidi kutokana na vita.

Waziri Mark Simmonds amesema mbinu zote zitatumika katika kukomesha mzozo huo.

Hata hivyo, jana, Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini, aliafikiana na mpinzani wake aliyekuwa makamu wa rais, Riek Machar, mjini Addis Ababa, Ethiopia, kuanzisha serikali ya muda, katika kipindi cha siku sitini.

Emmanuel Igunza anaarifu zaidi