Huwezi kusikiliza tena

Iran na Nigeria zaambulia sare tasa

Timu ya Iran na Nigeria zilitoka sare ya suluhu bin suluhu , katika mechi yao ya kundi F huko Curitiba, kwenye fainali ya kombe la dunia siku ya Jumatatu.

Timu hiyo ya Carlos Queiroz ilionekana kuwa ngumu kushindwa tangu mwanzoni.

Kwenye mechi ya kwanza katika kundi hilo Lionel Messi aliifungia Argentina bao la ushindi walipoishinda Bosnia Hercegogona bao 2-1. Huu ni mtazamo kuhusu mechi kabla ya kuanza