Huwezi kusikiliza tena

Je unamfahamu vyema Wayne Rooney?

Uingereza itamenyana na Uruguay usiku wa Leo. Matumaini yako kwa Rooney , mshambulizi wa England na anasema ndoto yake ni kuwafurahisha mashabiki na kufanya Uingereza kujivunia.

Je atatimiza ndoto hiyo?