Huwezi kusikiliza tena

Je Yaya Toure atatimiza ndoto yake?

Mcheza kiungo cha kati wa Ivory Coast Yaya Toure, anasema kuwa itakuwa ndoto yake kwa timu ya Afrika kucheza fainali ya kombe la dunia nchini Brazil.

Unadhani Ivory Coast watafua dafu?