Huwezi kusikiliza tena

Idadi ya wakimbizi duniani inatisha

Shirika la UNHCR, linasema idadi ya wakimbizi imeongezeka duniani na kuwa kubwa zaidi kushuhudiwa tangu vita vya pili vya dunia.

Wakimbiz hao sasa ni zaidi ya milioni hamsini.

Ripoti hiyo inaelezea hali ya wakimbizi duniani kama ya kutisha na athari zake kwa binadamu ni mbaya sana.