Huwezi kusikiliza tena

Ndoto ya Salomon Kalou Brazil

Mshambulizi Ivory Coast Salomon Kalou anasema kuwa ndoto yake katika kombe hili la dunia ni kuwa miongoni mwa timu ya kwanza ya Afrika kufika nusu fainali za kombe la dunia